STEP REPORT 2016
OFISI
YA RAIS –TAMISEMI
HALMASHAURI
YA WILAYA KILWA
SHULE
YA SEKONDARI KIKANDA
MREJESHO WA WARSHA YA BRN ILIYOFANYIKA MKOANI
LINDI
19-23/12/2015:
YALIYOMO:-
1.
UTANGULIZI
2.
WASHIRIKI
3.
MADA ZILIZOWEZESHWA
4.
CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA
5.
CHANGAMOTO NA MAPENDEKEZO (HITIMISHO)
UTANGULIZI
Warsha hii iliandaliwa kwa lengo la kuwaandaa
walimu wa masomo ya Kiswahili, kiingereza , Hisabati na Biologia kuwatambua na
kuwasaidia wanafunzi wenye uwezo mdogo katika masomo tajwa na waweze kufanya
vizuri katika mitihani yao ya kidato cha
pili na cha nne , kwa kutumia njia mbadala (elekezi) na muda wa ziada.
WASHIRIKI
Washiriki wa washa hii walikuwa kutoka wilaya tatu
nazo ni: - KILWA DISTRICT COUNCIL, LINDI DC na LINDI MUNICIPAL
Waliohudhuria kutoka shule ya kikanda ni kama ifuatavyo:-
Na
|
Jina
la mwalimu
|
somo
|
Namba
ya simu
|
1
|
Ally
Ramadhani Mtawazi
|
Hisabati
|
0788522590
|
2
|
Lydia
Lyanga Samweli
|
Biologia
|
0784918411
|
Washiriki ambao hawakuhudhuria
Na
|
Jina
la mwalimu
|
somo
|
Namba
ya simu
|
1
|
Zaina
Ramadhani
|
kiingereza
|
0652731467
|
2
|
Fadhila
Optat
|
kiswahili
|
0684242536
|
MADA
ZILIZOWEZESHWA KATIKA WARSHA
NA
|
SOMO
|
MADA
ZILIZOWEZESHWA
|
1
|
HISABATI
|
·
STATISTICS
·
LINEAR PROGRAMING
·
LOGARITHM,EXPONENTS AND RADICALS
·
MATRICES
|
2
|
BAOLOGIA
|
·
DISEASES
·
CLASSIFICATION OF ORGANISMS
·
NUTRITION
·
GENETICS
|
3
|
KISWAHILI
|
·
UFAHAMU NA UFUPISHO
·
UANDISHI WA INSHA
·
UCHAMBUZI WA MASHAIRI
|
4
|
KIINGEREZA
|
·
COMPREHENSION AND SUMMARY
·
WRITING COMPOSITION
·
RESPONSE TO READING
|
CHANGAMOTO
ZILIZOJITOKEZA
·
Utayari wa wanafunzi na wazazi katika
utekelezaji wa darasa wezeshwa (enrichment class) shuleni. Mf; kurudia jioni na
kazi za nyumbani.
·
Baadhi ya mada hazieleweki kwa walimu
kutokana na kubadilika kwa mihutasari ya kufundishia mara kwa mara pasipo
kushirikisha wadau wenyewe/walimu
Mfano: mada ya ACCOUNTS katika
somo la hisabati kidato cha tatu.
·
Pia upungufu wa vifaa vya kufundishia
na kujifunzia mashuleni ni changamoto katika utekelezaji wa darasa wezeshwa.
Mfano: maabala, chumba cha
jeografia, maktaba na vifaa vya hisabati
·
Kutokuwepo kwa motisha kwa walimu
wanaondesha madarasa wezeshwa (enrichment classes)
·
Utoro uliokithiri kwa wanafunzi
unakwamisha utekelezaji wa darasa wezeshwa, kwa maana muendelezo wa kile
anachokisoma mwanafunzi hautapatikana na hivyo kushindwa kuunganisha maarifa.
·
Muda wa mafunzo ulikuwa mdogo pia.
MAPENDEKEZO
1.
Elimu ilitolewe kwa jamii nzima kuhusu
darasa wezeshwa ili ilete ushirikiano katika utekelezaji wake.
2.
Shule ziboreshwe kwa kupatiwa nyenzo
na vifaa muhimu vya kufundishia na kujifunzia
3.
Sheria dhidi ya wanafunzi watoro
ifanye kazi yake bila kusita ili kuleta ufanisi na matokeo chanya.
4.
Walimu wanaowezesha madarasa haya
wapewe motisha kwa ule muda wa ziada wanaoutumia kuwasaidia wanafunzi wenye
matokeo mabaya ambao katika shule yetu ni wengi.
HITIMISHO
Wasrsha hii imeleta hamasa na hali kwa walimu
walihudhuria na kutoa ahadi ya kuwawezesha walimu wenzao ambao hawakuhudhuria
na hii imeanza kufanyika hapa shuleni kwetu na athari zimeonekana katika
matokeo ya kidato cha pili 2015, ambapo masomo kama historia, Kiswahili na
kiingereza yameweza kufuta F kwa 99%.
Tunashashauri yafanyike mara kwa
mara hata katika ngazi ya wilaya kwa kuwashirikisha walimu wa masomo yote.
Imeandaliwa na:-
1. Ally mtawazi mwalimu wa Hisabati
2. Lydia Lyanga mwalimu wa baologia
AYUBU MWAKATIKA
MKUU WA SHULE

No comments :
Post a Comment