Blog hii bado ipo kwenye matengenezo nia na malengo ni kuiweka katika mtazamo mzuri na mpangilio uliokamilika hivyo ndugu unaejaribu kutupitia ama kuperuzi kwenye blog hii tunaomba radhi kwa usumbufu wa aina yoyote ikiwa aidha ukoseaji wa maneno,uwekaji mbaya wa picha zetu au matatizo ya kutuma taarifa zetu na picha kutokuwa nzuri kwenye kurasa za blog hii ni matumaini yetu kila kitu kitakwenda sawa,Tunaomba ushirikiano wako kwenye zuri la kurekebisha .Hivyo tunakuomba uendelee kuungana nasi katika kila tukio,taarifa inayowekwa kwani bila ya wewe mafanikio hayatapatikana.
Kumbuka kututembelea katika
kikandasec@gmail.com kwa maoni
kikandasecondary.blogspot.com kwa taarifa mbalimbali
AHSANTENI
Friday, 21 July 2017
Muhula wa Pili wa Masomo
Kama ilivyoada na tukimshukuru mwenyezi kwa kutuwezesha salama,masomo yanaendelea kwa mujibu wa taratibu na ratiba zilizowekwa na mamlaka tunashukuru sote tuko salama huku walimu wakitimiza majukumu yao kikamilifu na ipasavyo
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)