Ni huzuni na majonzi kuwaaga wanafunzi wetu wa kidato cha nne 2016 ambao leo wamekamilisha mitihani yao ya kuhitimu elimu ya sekondari.
kwa niaba ya jumuiya ya shule ya sekondari kikanda ninawatakia maisha mema yenye baraka tele huko muendako.
Mungu awabariki sana.
No comments :
Post a Comment