Friday, 21 July 2017

MATENGENEZO

Blog hii bado ipo kwenye matengenezo nia na malengo ni kuiweka katika mtazamo mzuri na mpangilio uliokamilika hivyo ndugu unaejaribu kutupitia ama kuperuzi kwenye blog hii tunaomba radhi kwa usumbufu wa aina yoyote ikiwa aidha ukoseaji wa maneno,uwekaji mbaya wa picha zetu au matatizo ya kutuma taarifa zetu na picha kutokuwa nzuri kwenye kurasa za blog hii ni matumaini yetu kila kitu kitakwenda sawa,Tunaomba ushirikiano wako kwenye zuri la kurekebisha .Hivyo tunakuomba uendelee kuungana nasi katika kila tukio,taarifa inayowekwa kwani bila ya wewe mafanikio hayatapatikana.
Kumbuka kututembelea katika
kikandasec@gmail.com              kwa maoni
kikandasecondary.blogspot.com         kwa taarifa mbalimbali

AHSANTENI

No comments :

Post a Comment

Tricks and Tips