Friday 24 July 2015

SHEREHE ZA KUKABIDHI ZAWADI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI 2015



Katika hali ya kuongeza hamasa ya usomaji na kufanya vizuri kwa wanafunzi katika masomo yao,Kikanda sekondari imeanza kutoa zawadi kwa wanafunzi wanaofanya vizuri katika mihula ya mwaka hii ni pamoja na kutoa zawadi kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana waliofanya vizuri,lengo ni kuboresha elimu na kuongeza hamasa kwa wanafunzi.
Hivyo tunawaletea tukio zima kwa ufupi juu ya utoaji tuzo hizo ambazo mwenyekiti wake na ambaye pia ni mkuu wa shule alikabidhi zawadi hizo kwa wanafunzi hao


2.4,  Mkuu wa shule akimkabidhi mwanafunzi  Haji Magina zawadi baada ya kufanya vizuri katika mitihani ya taifa kidato cha nne 2014 huku makamu mkuu wa shule akifuatilia kwa karibu tukio hilo

MAABARA


Jengo la maabara shule ya Sekondari Kikanda ambalo linategemewa kumalizika hivi karibuni na kuanza kutumika mara moja mara baada ya vifaa vya kufanyia majaribio(practicals)kuwasiri.Jengo hili litawasaidia wanafunzi kusoma kwa vitendo katika masomo yao ya sayansi




Thursday 23 July 2015

SCHOOL PLAN 2015

MPYA
 SCHOOL PLAN



KILWA DISTRICT COUNCIL
KIKANDA SECONDARY SCHOOL
PROCUREMENT PLAN 2014/15

SOURCE OF FUNDS:
*      CAPITATION GRANTS (DISTRICT AND MESS)
*      STUDENT’S CONTRIBUTIONS
*      OTHER STAKE HOLDERS.

TOTAL CONTRIBUTIONS:-
1.      SCHOOL FEES- TSHS. 4120000/=
2.      ACCADEMIC FEE-TSHS. 2060000/=
3.      SECURITY FEE- TSHS.1030000/=
TOTAL- TSHS. 7210000/=


EXPENDITURES:-
INDEX
ITEM
NO.OF ITERMS
COST PER ITEM
TOTAL COST
01
CHALK
78 BOXES
2000/=
156000/=
02
TEACHER’S RULER
04 PCS
5000/=
20000/=
03
WORD MAP
02
10000/=
20000/=
04
COMPASS BEARING
01
10000/=
10000/=
05
TAPES
02
5000/=
10000/=
06
PRINTER
01
150000/=
150000/=
07
PHOTOCOPY MACHINE
01 PC
1500000/=
1500000/=
08
CUPBOARD
02
600000/=
1200000/=
09
ADMISTRATIVE ISSUES

3000000/=
3000000/=
10
NOTICEBOARD
01 PC
50000/=
50000/=
11
MID-TERM EXAMINATIONS
02 SEASONS
470000/=
940000=
12
DISTRICT EXAMINATIONS
02 SEASONS
600000/=
120000/=
13
STAPLER MACHINES
03 PCS
3000/=
9000/=
14
STAPLE PINS
10 BOXES
400/=
4000/=
15
COUNTER BOOKS
36 PCS
3500/=
126000/=
16
RIM PAPER
15 PCS
10000/=
150000/=
17
SPORTS JEYSE
01 DOZEN
15000/=
150000/=
18
BALLS
03
30000/=
90000/=
19
SPORTS SHOES
02
250000/=
500000/=
20
VOLLEBALL NET
01
60000/=
600000/=
21
FIRST AID KIT
01
50000/=
50000/=

TOTAL
-
-
8072000/=

BALANCE=COLLECTION-EXPENDITURE                                           Prepared by....
                        7210000-8072000= -862000/=.                                  Head of school…....
DEFECET IS 862000/=



KILWA DISTRICT COUNCIL
KIKANDA SECONDARY SCHOOL
PROCUREMENT AND FINANCE COMETEE.

No.
NAME
DESIGNATION
01
AYUBU J MWAKATIKA
Head of school
02
STEPHEN K SIMBA
Board chairperson
03
FADHIL KIJIDA
Finance Teacher
04
KASIMU NGUNG’UNDE
Board member
05
MWANAISHA AMANZI
Board member
06
EMANUEL JOSEPH
Teacher
07
FADHILA OPTAT
Teacher

Prepared by
Head of school
30/09/2014.




PRIME MINISTER’S OFFICE,REGIONAL AND LOCAL GOVERNMENT AUTHORITY.
KILWA DISTRICT COUNCIL
KIKANDA SECONDARY SCHOOL.

Our Vision

To be the centre of success.
 

Our Mission

To provide quality education crossing academic, discipline and self reliance.


The school will provide services to its students and the general public while observing the following:
  • Accountability
  • Responsibility
  • Responsiveness
  • Integrity
  • Diligence
  • Transparency
School-motto

Education is treasure

A.J.MWAKATIKA
HEADMASTER.




Tricks and Tips