Blog hii bado ipo kwenye matengenezo nia na malengo ni kuiweka katika mtazamo mzuri na mpangilio uliokamilika hivyo ndugu unaejaribu kutupitia ama kuperuzi kwenye blog hii tunaomba radhi kwa usumbufu wa aina yoyote ikiwa aidha ukoseaji wa maneno,uwekaji mbaya wa picha zetu au matatizo ya kutuma taarifa zetu na picha kutokuwa nzuri kwenye kurasa za blog hii ni matumaini yetu kila kitu kitakwenda sawa,Tunaomba ushirikiano wako kwenye zuri la kurekebisha .Hivyo tunakuomba uendelee kuungana nasi katika kila tukio,taarifa inayowekwa kwani bila ya wewe mafanikio hayatapatikana.
Kumbuka kututembelea katika
kikandasec@gmail.com kwa maoni
kikandasecondary.blogspot.com kwa taarifa mbalimbali
AHSANTENI
Kikanda Secondary School
Friday, 21 July 2017
Muhula wa Pili wa Masomo
Kama ilivyoada na tukimshukuru mwenyezi kwa kutuwezesha salama,masomo yanaendelea kwa mujibu wa taratibu na ratiba zilizowekwa na mamlaka tunashukuru sote tuko salama huku walimu wakitimiza majukumu yao kikamilifu na ipasavyo
Wednesday, 7 December 2016
LIKIZO NJEMA DESEMBA 2016
Kwa niaba ya uongozi wa shule ya sekondari kikanda ninawatakia likizo njema wanafunzi na walimu wote.
muwe na mapumziko mema
muwe na mapumziko mema
Monday, 7 November 2016
Saturday, 5 November 2016
GOODBYE FORM 4
After almost four years of study,today we are about to say goodbye,we wish you to have a good life after school.
Saturday, 24 September 2016
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA KILWA
SHULE YA SEKONDARI KIKANDA
ORODHA YA WANAFUNZI WATORO 02/08/2016.
NA
|
JINA
LA MWANAFUNZI
|
JINSIA
|
KIDATO
|
HATUA
ZILIZOCHUKULIWA
|
MUDA
|
SABABU
|
1
|
ASHURA
SAIDI ALLY
|
KE
|
I
|
Barua
kwa mzazi , na taarifa kwa afisa mtendaji kata
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
2
|
ZUHURA
HAFIDHI MNYAULA
|
KE
|
I
|
-do-
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
3
|
NEEMA
MOHAMEDI HALFANI
|
KE
|
I
|
-do-
|
Wiki tatu
|
Hakuna sababu
|
4
|
ASIA
ALLY MAFTAHA
|
KE
|
I
|
-do-
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
5
|
AHMADI
OMARI HALFANI
|
ME
|
I
|
-do-
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
6
|
ASHIRI
HEMEDI MPINJI
|
ME
|
I
|
-do-
|
Miezi mitatu
|
Hakuna sababu
|
7
|
SADIKI
ABDALLAH CHOBO
|
ME
|
I
|
-do-
|
Miezi minne
|
Hakuna sababu
|
8
|
AZA
SAIDI MAKOLO
|
ME
|
I
|
-do-
|
Mwezi mmoja
|
Hakuna sababu
|
9
|
HADIJA
ABDU MKALYAMBOGA
|
ME
|
I
|
-do-
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
10
|
TALIKI
SHABANI MKWANDA
|
ME
|
II
|
-do-
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
11
|
MIKIDADI
THABITI
|
ME
|
III
|
-do-
|
Miezi miwili
|
Hakuna sababu
|
12
|
ASIA
OMARI MANDAI
|
KE
|
III
|
-do-
|
Miezi minne
|
ujauzito
|
13
|
SOMOE
SAID SINDAMA
|
KE
|
III
|
-do-
|
Miezi minne
|
ujauzito
|
14
|
SAUMU
OMARI KINDINDA
|
KE
|
III
|
Barua
kwa mzazi na taarifa kwa WEO
|
Miezi mitatu
|
Ugonjwa (shetani)
|
15
|
OMARI
MBARAKA MBALAWA
|
KE
|
IV
|
Barua kwa mzazi na taarifa kwa WEO
|
Wiki tatu
|
Hakuna sababu
|
16
|
SALMA
TWAHIRU MNYIKA
|
KE
|
IV
|
Barua
kwa mzazi na taarifa WEO
|
Wiki tatu
|
hakuna
|
....................... Ayubu mwakatika.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)